Unamkumbuka Missy Elliot, apunguza kilo kwenye mwili wake baada ya kuacha vitu viwili... - BZONE

Unamkumbuka Missy Elliot, apunguza kilo kwenye mwili wake baada ya kuacha vitu viwili...

Share This
"Ninafuraha kusema kwamba imepita miezi minne nilikuwa nakunywa maji tuu sio Juice wala soda niliacha kula vyakula vya jamii ya Mkate na Mungu ndie anaejua imekuwa ngumu sana kwangu mimi.!"
Miss Elliot mwenye umri wa miaka 46 alisema pale aliposhare picha ya mwili wake Instagram Mei 9, inaonekana kuacha kula vitu vya jamii ya mikate pamoja na Juice na Soda vimeweza kumfanya Missy kulainisha ngozi yake na kupunguza kilo za mwili. 
aliongezea na kusema kwamba nimekuwa nikitumia maji na imenisaidia kwa ngozi yangu na imenifanya nijione kama mpya.


Missy Elliott (REX/Shutterstock/Instagram)

Miezi minne bila kutumia Soda inaonekana hiyo lakini kuacha mkate? Hiko ni kitu kikubwa na moja ya kitu ambacho Missy anatakiwa kujisifia ni icho Missy amekubali na kusema kwamba yeye bado ni binadamu na bado anapigana kurudi kwenye headlines ya mziki.


  LAkini Missy aliweza kujiendesha pamoja na ugonjwa aliokuwa nao huku Elliot alisimama mziki mara baada ya kuperform  Oktoba 2014 mjini New York.

No comments:

Post a Comment

Pages