Alikiba - Mvumo Wa Radi Official Video - BZONE

Alikiba - Mvumo Wa Radi Official Video

Share This
Alikiba ameachia video ya wimbo wake unaoitwa ‘Mvumo Wa Radi’ ambao ni wa kwanza tangu afunge ndoa April 19 ya mwaka huu. Video hiyo imeongozwa na director Meji Alabi.

No comments:

Post a Comment

Pages