
Ngoja nikuthibitishie hataa hawa watu mashuhuri wapo kama sisi na hii immemtokea The Weeknd ambae alipatwa na ofu kubwa kwenye Tamasha la METGALA2018 siku ya Jumatatu alikimbia kabisa tamasha hili kubwa la mitindo ya watu wote hasa pale alipo sikia kuwa waliokuwa wasichana wake wote wapo kwenye tamasha hilo yani Selena Gomez na Bella Hadid. Jamaa ndo alikuwa kitu kikubwa kwenye Tamasha hilo, ni swala tofauti sana yani kwa wote pamoja Selena na Bella na hakutaka kuangaika na yeyote kati yao kwenye usiku mmoja.

Alijisikia yupo vyema zaidi kuondoka kwenye tamasha Hilo. Lakini alipoojiwa The Weeknd aliweza kufunguka swala la Selena na kusema kwamba Selena ambae walikuw wanasaidia kwenye swala la kazi tu lakini akaendelea kufunguka na kusema ni kweli walikuwa wanatoka wote na alikuwa anamfanya ajisikie huru sana lakini wakaja kuachana.

Lakini alipogusiwa swala la Bella baada ya ripoti zilizo toka ziliweza kusema kwamba wawili hao waliweza kuonekana kwenye tamasha la Coachella, Bella ambae mwenye umri wa miaka 21 ambae ni Model alitoa mashtaka na kusema kuwa sikuwa mimi ambae niltangaza kuachana na Weeknd labda yeye kwa upande wake.
No comments:
Post a Comment