
Ni hisia kali sana za kuzalalishwa huku watu wengi wakiwa wanamuuunga mkono na kumwambia kuwa kwasasa anatakiwaa kuwa mvumilivu kwa sasa na haikuwa kosa lake lakini kuna njia ya watu wengi kumshambulia yeye huku yeye akijishusha chini.

Kitu kibaya kuwa kuna watu na watu ambao yeye akuzani kama wangemshambulia na kuna maswali labda alikuwa ni moja ya hii, inaumiza sana na asinge weza kufanya hivo na baadhi ya watu wanahisi kuna watu anawaita marafiki wamemgeuka.

Hii imetokea baada ya masaa machache kuvuja kwa video ya Ngono na haikuchukua mda kwa Teairra kuingia kwenye mitandao ya kijamii kuzungumzia kwa kile kilichotokea na Plan zake kuchukua uhamuzi kwa kile kilichotokea tangia kuvuja kwa mkanda huo wa Ngono.
No comments:
Post a Comment