Yalikuwa ni madiliko hata hayakutarajiwa mshambuliaji kwa Beki na mshambuliaji akiwa na goli moja tu tokea Oktoba 15 labda ni mabadiliko ya kocha ambae asingeweza kuwa na uhoga wowote. Mda huo huo lakini yalibadilisha mchezo kabisa na msimu kwa Southamton.
Gabbiadini alishinda, na Southampton wakashinda na kuwashusha West Brom pamoja na wao ndio ni Swansea Mbali na hiyo labda waweze kupitia mgongo wa Huddersfield.
Sasa Southampton wamewaachia balaa kubwa Huddersfield ambao wanatakiwa wapate alama kupitia Chelsea au Arsenal, vijana wa Saint Mary kwasasa wanashangilia si wachezaji si wafanya kazi yani kama wamebeba kombe la klabu bingwa Ulaya.
Angeweza kuzishusha timu mbili kwenye msimu mmoja yani Stoke City na Southampton mbali na historia ya kazi yake inaanza kujijenga tena.
Kwasasa anaweza akapumua kidogo japo kazi bado ipo kidogo ya kuisogeza Southampton hapa ilipo Swali kubwa lilokuwepo je Klabu imejifunza somo lolote? wataacha kuwauza wachezaji wao kila msimu kwenye dirisha la usajili? hawatakiwi kujiweka kwenye hatari kubwa sana msimu unaokuja kiukweli ilibakia pua tu.
Swansea walikuwa wazuri ndani dakika 90 lakini Southampton ata hawakujali ilo walipambana japo kulikuwa na kiza ni kiza cha akili tuu japo kuwa upande wa pili.
No comments:
Post a Comment