Tulikwambia lakini ukabisha ona sasa Your OUT..!! Lacazzette na Martial watemwa, Deschamps ataja majina ya kikosi cha Ufaransa kuelekea kombe la Dunia. - BZONE

Tulikwambia lakini ukabisha ona sasa Your OUT..!! Lacazzette na Martial watemwa, Deschamps ataja majina ya kikosi cha Ufaransa kuelekea kombe la Dunia.

Share This
Hakuna tena nafasi kwa Dimitri Payet ambae alipatwa na majeraha kwenye fainali za Europa akiwa na klabu yake ya Marseille.

Didier Deschamps has named his 23-man France squad for the World Cup

Kikosi cha Didier Deschamps kinawaunganisha wachezaji watanao ambao wanakipiga kwenye ligi kuu Uingereza akiwemo kipa kutokea Spurs Hugo Lloris.Beki wa Manchester City Benjamin Mendy ameongezwa kwenye kikosi icho licha ya kuwa na majeraha kazaa kwenye msimu huu huku Kiungo wa Chelsea N'golo Kante na Olivier Giroud ukijumuisha na kiungo wa Manchester United Paul Pogba wakiwekwa kwenye orodha hiyoo.

Alexandre Lacazette has suffered heartbreak after missing out on France’s World Cup squad

Wote kwa Pamoja yani Martial na Lacazette wawili kati ya watu 11 ambao pamoja na beki wa Crystal Palace Mamadou Sakho na beki wa kati Kurt Zouma na kiungo wa  Spurs Moussa Sissoko wakitemwa.

Manchester United striker Anthony Martial has also missed out

Nyota wa Real Madrid Karim Benzema akitolewa kwenye kikosi icho na akuweza kuitwa tangia Euro 2016, Ufaransa bila beki Laurent Koscielny ambae anasumbuliwa na majeraha ni pigo kubwa sana kwa Ufaransa.

Frances squad for the World Cup in Russia

Lacazette na Martiala hawakuweza kupata nafasi kwenye kikosi hicho kutokana na mazingira waliokuwa nayo kwenye vilabu vyao huku Martial  akiwa anajiandaa kuondoka United baada ya Mourinho kutomuamini.

No comments:

Post a Comment

Pages