Rapa huyu kutokea London ngoma yake hii mpya inaonekana inamkatalia mwanamke kucheza kwasababu maneno alioanza kutuambia anasikika akisema “one and one is two that was me and you but we ain’t stuck like glue (Boom)..!”

Ngoma hii inaonekana kama inauhalisia flani hivi wa ucomedy kama ukipata nafasi ya kusikiliza maneno yake lakini Mr. Big shot alirekodi miezi michache tuu. Shaq anamuangazia mwanamke ambae alimuomba kucheza kwenye tamasha la Star weekend huko Califonia.

Tangia alipoachia ‘Man’s not hot’ Big Shaq amekuwa kioo kwenye tansinia hii ya mziki tangia alipoanza kujulikana na ameshafanya baadhi ya matangazo na Fifa pamoja na Nike na anatarajiwa kufanya baadhi ya matamasha kamaWireless Festival, Longitude festival, Reading and Leeds Festival
Chakufanya sasa hivi sikiliza ngoma hii mpya ya Big shaq natumaini utaweza kuburudika.
No comments:
Post a Comment