T.I. ashikiliwa na Polisi kwa Ulevi - BZONE

T.I. ashikiliwa na Polisi kwa Ulevi

Share This
Ili taarifiwa kwamba T.I alikamatwa nje ya geti lake kwenye mida ya saa Nne asubuhi siku ya Jumatano Mei 16 kwa kosa la unywaji wa pombe uliopitiliza kwa jamii.

Kutoka WSBTV ilisema kwamba T.I ambae alirudi usiku na kujikuta hana funguo na ikabidi aanze kuzozana na mlinzi ambae akuweza kumruhusu kuingia ndani  na kwa mda huo huo T.I ilibidi amuite rafiki yake ambae aliungana na yeye na vitu hapo vikaanza kuwa tofauti na kuleta tafrani kubwa mpaka kufikia hatua ya kuweza kuita Polisi.

T.I. and Tiny can’t wipe the smiles off their faces at the ‘Gangster Squad’ premiere in Jan. 2013.


Kupiti mwanasheria wake bwana Steve Sadow aliweza kufunguka na kusema kwamba Tip alikuwa anashikiliwa pale alipojaribu kuingia kwenye lango la jamii ambapo  mke wake yani Tiny na familia yake hawakuwepo karibu kwenye mda ule, Steve anaendelea kusema 'Mlinzi alikuwa amelala pale TIP alipofika kwenye nyumba yake ilimchukua T.I mda kumuamsha na kujikuta anaanza kutafuta namna ya kuingia. Lakini mlinzi alimkatalia kuingia ikabidi T.I afanye mawasiliano na Tiny kwenye simu na Tiny akaruhusu kwamba Tip aruhusiwe kuingia ndani lakini bado mlinzi aliendelea kugoma  maneno yalikuwa ya kifanya kubadilishana kutoka pande zote mbili mpaka ikafika mda mlinzi huyo akawapigia simu polisi, pale Polisi walipofika awakutaka kumsikiliza au kusikiliza upande wa T.I na kuchukua uhamuzi wa kumkamata.'

T.I. holds Tiny close at the Showtime Holiday Soiree in Dec. 2013. 

Polisi waliweza kumkamata T.I pamoja na Tiny huku T.I akifunguliwa shtaka la unywaji au kutumia kilevi mbele ya jamii pamoja na Uhuni uliopitiliza.
Hii sio mara ya kwanza kwa T.I kushikiliwa na mkono wa sheria, alikamatwaga mwaka 2007


No comments:

Post a Comment

Pages