Antonie Griezmann amaliza kwa mtindo wa kipekee kuelekea Uhamisho wake wa Kwenda Barcelona. - BZONE

Antonie Griezmann amaliza kwa mtindo wa kipekee kuelekea Uhamisho wake wa Kwenda Barcelona.

Share This
Hii ndio kama inaonekana Antonie Griezmann ndio mchezo wake wa mwisho kwa Atletico Madrid na anaweza akapata makaribisho yamoto kila mda ambao atataka kurudi kwenye dimba la Wanda Metropolitan.

The Frenchman shows off the same celebration for his second goal as his team-mates walk off to restart the match

Marseille's Andre-Frank Zambo Anguissa reacts with a guilty look after giving the ball away that allowed Griezmann to score

Mfaransa huyu ambae anatarajiwa kujiunga na Barcelona msimu ujao hakuwahi kupata heshima kubwa akiwa na Diego simeone kabla ya Jana usiku lakini kwasasa anaweza akaondoka akiwa na jina likiwekwa kwenye kumbu kumbu za Atletico Madrid baada ya kuonesha muonekano ulio bomba kwa. Kunyakua kombe la Ulaya  yani Europa.

Torres, 34, kisses the Europa League trophy - his first major title with the club - on his final appearance before his deal expires

Griezmann aliweza kuweka mpira wavuni kwa siku ya jana kwanza ngoja tuseme shukrani kutoka kwa Andre  Zambo Anguissa wa Marseille bila kusahau na mtu ambae amejaliwa kipaji cha  pekeee yani Koke.

Atletico  captain Gabi celebrates his goal scored in the 89th minute to make it 3-0 and cap off an impressive victory

Waliweza kujiakikishia ushindi baada ya Gabi kwenye dakika ya 89 kuwaruhusubwaanze kushangilia na hapo ndipo sherehe zilipoanza.

Torres lifts the Europa League trophy for Atletico as the players celebrate their victory on Wednesday night in Lyon

Kwa Diego Costa ambae alikachwaaa na kocha wake Antonie Conte na ambae alikaa wiki sita bila kulipwa chochote na ndipo hapo akaanza msimu wake kwa kujificha na hii ndio ilikuwa usiku wa haki na kuwakikishia  na kugugumia na kucheza kamali.

Costa drapes himself in Atletico memorabilia as he proudly wears his Europa League winners' medal around his neck

Baada ya kutoroka Chelsea amerudi sasa nyumbani kwa baba yake Diego Simeone ambae anamuheshimu kwa kila kitu na kombe kwenye mikono yake kwa mara nyingine tena na sasa anajiweka kwenye kiwango bora cha kurudi kwenye kikosi cha Uhispania kwenye msimu wa kombe la Dunia.

Things went from bad to worse for Marseille when Dimitri Payet (second left) was forced off after 30 minutes with an injury

Kwa Dimitri Payet ambae ni mchezaji wa kushangaza ambae aliwaachia shimo kubwa mashabiki wa West Ham kabla ya kutokwa na machozi huu ulikuwa ni usiku wa maumivu. Payet ambae ni nahodha wa Marseille anahabari ambayo inataka kufanana na Costa,



Payet alijikuta timu yake ikipotea kwa kuwa nyuma baada ya Griezmann alipotoa faida kwa kosa la wapinzani wao na kuwakatisha tamaa Marseille Payet akuweza kumaliza mchezo huo baada ya kutolewa kwa tatizo la misuli kwa mda mfupi akiwa anatoka akibugujikwa na machozi huku jina lake likitarajiwa kuwa kwenye kikosi cha kombe la Dunia.Atletico players celebrate together as their victory is sealed by a strike from their captain Gabi in the 89th minute

No comments:

Post a Comment

Pages