SUPREME wanatushtua kuzicheki Clarks ambazo bado zinakimbiza.. - BZONE

SUPREME wanatushtua kuzicheki Clarks ambazo bado zinakimbiza..

Share This
Supreme na Clarks bado zipo kwenye mawimbi ya mitindo Duniani wakiwa na Brand mpya ambayo itakua poa kwenye kipindi cha unyevu unyevu na baridi.

Image result for Supreme x Clarks 2018

Zikiwa zinatarajiwa kuingia sokoni siku si chache zinatarajiwa kuwa kwenye rangi kadhaa za mwanzo ikiwemo rangi Nyeusi, Nyekundu, Kijani, Nyeupe pamoja na Zambarau pia ukijichukulia utaweza kupata Golden Supreme ndani ya package kwa kila Pair utakayochukua 

Image result for Supreme x Clarks 2018

Supremr x Clarks 2018 inatarajiwa siku ya leo kuzinduliwa rasmi ila kwasasa kama utataka kujipatia inabidi utembelee mtandao wa supreme.com  huku bei zake zikiwa bado hazijawekwa wazi.

Related image

No comments:

Post a Comment

Pages