Meek Mill Kuingiza sauti yake kwenye ngoma mpya ya Drake.. - BZONE

Meek Mill Kuingiza sauti yake kwenye ngoma mpya ya Drake..

Share This
Meek Mill na Drake ni watu ambao wamekuwa wakifanya pamoja vizuri kwenye ngoma wanazo shirikiana  tokea na 2015 ambayo imeleta matokeo makubwa kwenye ngoama kama "charged Up" pamoja na "Back to Back".

Image result for meek mill

Rapa huyu kutokea Philly ametoa kauli hii siku chache kwenye baadhi ya mahojiano na kusema kwamba anashirikiana na 6 God na kuweka kila kitu nyuma kilicho wahi kutokea juu yake. Meek amejikuta akiweka sauti yake kwenye Moja ya Verse ya ngoma mpya ya Drake.

Image result for meek mill


Meek alijaribu kuangalia nyuma baadhi ya ngoma mpya siku ya Jumatatu tarehe 21 Mei na kujikuta akifanya Freestyle ya baadhi ya beat za Notorious B.I.G.

Rapa huyu ambae mzaliwa wa Robert Williams atasikika kwenye ngoma ya mzaliwa wa Toronto ikiwa inatazaniwa kulipa Fidia kwa kile alichofanyiwaga na Drake.

Image result for meek mill

Lakini kupitia Hot 97 mapema ya mwezi wa tano aliweza kugusia alivyokuwa jela na mahusiano yake na Drake na kufunguka kwa kusema hivi "I don't have hate towards him and I don't believe he has hate towards me," aliendelea "When I was in that situation, I seen in the media he was like 'Free Meek Mill' that's when I was at my down point when I didn't have anything going on with music."

Tangia alipoachiwa kutoka jela Mill mwenye umri wa miaka 31 bado ajadondosha ngoma yoyote na amekuwa akiweka jitihada zake za kuweza kujirudisha kwenye Game.


.

No comments:

Post a Comment

Pages