Lakini Tottenham wameripotiwa kuwa wanataka kiwango cha fedha ambacho sawa na kile cha Liverpool ambacho kililipwa na Southampton kwa Virgil Van Dijk yani £75Milioni.
Mlinzi huyu mwenye umri wa miaka 29 amekataaa ofa ya mkataba kutoka Spurs ambao una thamani ya £120,000 kwa wiki zaidi ya mara mbili ya ule aliokuwa analipwa mwanzo yani £50k kwa wiki.

Na Mourinho anataka kunasa saini ya Mbelgiji huyu japo anawindwa na klabu yake ya zamani Chelsea Toby alijiunga na Spurs akitokea Atletico Madrid kwa dau la £11Milioni huyu ni moja ya walinzi wanne wanaowindwa na United.
United wakiwa wanajiamini wanataka kufanya dili la Mlinzi huyu kwa target ya £40Milioni huku Barcelona na PSG zikiwa kwenye mawindo pia.
No comments:
Post a Comment