Je upo tayari kuisikia hii kutoka kwa Belle9..? - BZONE

Je upo tayari kuisikia hii kutoka kwa Belle9..?

Share This
Basi kuna uwezekano muda sio mrefu tukaona video ya ngoma mpya ya msanii huyo.

Wiki hii Belle ameonekana kupost picha takribani nne kwenye mtandao wake wa Instagram zikimuonyesha kama akiwa location kutengeneza kichupa hiko

Lakini pia kunauwezekano wimbo huo ukapewa jina la ‘Dada’ kutokana na hashtag ambayo amekuwa akiitumia kwenye picha hizo huku akiandika baadhi ya maneno ambayo yanaonekana kuwa ni kama mashairi ya wimbo huo.

No comments:

Post a Comment

Pages