Mafanikio yanaweza yakapatikana kwa kila Mtu, Ebu jaribu kusikiliza hii "WIFI" kutoka kwa K CAMP - BZONE

Mafanikio yanaweza yakapatikana kwa kila Mtu, Ebu jaribu kusikiliza hii "WIFI" kutoka kwa K CAMP

Share This
Natumaini ushapata wasaa wa kusikiliza kazi mpya ya K Camp ambayo ilidondoshwa Mei 17 na ametoa ofa ya taste kwa ngoma hii ilio tengenezwa na Eurobeats.

Image result for k camp

K Camp anasikika poa sana huku akilenga hali halisi na kidogo mgongano kuhusiana na mafanikio na jinsi maisha yanavochanganya. Chupa ya ngoma hii imeweza kuongozwa na Marko Steez lakini kwenye ngoma hii inamkutanisha K camp peke yake.

Image result for k camp

Ikumbukwe K camp aliweza jpatia jina kupitia vibao vyake vya “Comfortable,” “cut her face off” na “Money baby” nimkuwekea hii hapa kutoka kwa K camp enjoy..!

No comments:

Post a Comment

Pages