Arsenal wanabahati SANA kumpata Unai Emery lakini wanaupungufu wa vipaji kwenye Ulinzi na Kiungo na wachezaji muhimu..!! - BZONE

Arsenal wanabahati SANA kumpata Unai Emery lakini wanaupungufu wa vipaji kwenye Ulinzi na Kiungo na wachezaji muhimu..!!

Share This
Itakuwa ni vigumu sana kumpinga Unai Emery kuchaguliwa kuwa kocha wa Arsenal, lakini ni rahisi kuandika nini atakacho kikosa.

Image result for unai emery

Japo ni mtu ambae akufanikiwa kubeba kombe la Ufaransa akiwa na PSG, Mtu ambae anaona makubwa yaliokuwa mbele yake kwenye mashindano ya Ulaya japo pale alipopeperushwa akiwa na PSG na ni mtu mwenye rekodi kubwa barani Ulaya kwenye mashindano ya vilabu sio kama ilivyo kwa Arsene Wenger alivokuwa.

Image result for unai emery

Hii ni Klabu ambayo ipo nje ya mashindano ya Klabi bingwa Ulaya ikiwa na kikosi cha kudhaurika na kichotimia ambacho kinaweza kurudi kwenye nafasi nne za juu bila kufanya usajili wowote. Arsenal wanaukosefu wa kukosa wachezaji ambao sio World Class kwenye kupata magoli, kwenye ulinzi na Uungaji wa timu.

Image result for pierre aubameyang, mesut ozil, henrikh mkhitaryan

Wachezaji watatu ambao wanaunda kikosi cha kwanza wanaweza wakawekwa kwenye mabano Pierre Emerick Aubameyang, Henrink Mkhitaryan na Mesut Ozil hawa wote wamekwa kwenye kitanzi cha dili la mda mrefu kwenye klabu.

Image result for pierre aubameyang, mesut ozil, henrikh mkhitaryan

Lakini Arsenal inabidi wajihesabie wao wenyewe watu wenye bahati sana kwa kupata kocha mwenye mvuto wa kipekee kama alivyo Emery. 

Image result for unai emery

Mtu ambae alikuwa na Sevilla ambae akafanikiwa kubeba mataji matatu ya Europa ambayo ni mashindano anayo wawakilisha Washika mitutu na ni mzunguko mmoja wapo wa kuwarudisha kwenye klabu bingwa Ulaya, Kwa wiki kadhaa nyuma Mikel Arteta aliangaliwa kuja kuchukua mikoba ya Wenger japo kuna watu walijaribu kumtengenezea njia ya kupata mkoba huo.

Image result for unai emery

Lakini kwa CV aliyokuwa nayo kocha huyu mpya wa Arsenal ingekuwa ngumu sana kumkataa kuliko Arteta. Emery ni zawadi kubwa sana kwa washika mitutu ila sasa wachezaji wanatakiwa waongeze juhudi binafsi kwajili yake na kuboreka zaidi na walipo kabla ajaanza afanya manunuzi yoyote.

No comments:

Post a Comment

Pages