Sasa Rasmi Tatumzuka waungana na Wema kwenye Biashara.. - BZONE

Sasa Rasmi Tatumzuka waungana na Wema kwenye Biashara..

Share This
Kampuni ya ‘The Network‘ kupitia mchezo wake namba moja wa bahati nasibu nchini Tanzania wa ‘Tatu Mzuka‘leo May 9 2018 imetangza rasmi kushirikiana kibiashara na Muigizaji maarufu Wema sepetu.

Akizungumza na waandisi wa habari Wema Sepetu amesema anafurahi kushirikiana na Tatu Mzuka ambapo fursa hiyo haitamgusa yeye tu bali pia kwa mashabikki zake na Tanzania kwa ujumla kwa kujitengenezea fursa na kuboresha maisha yao.

No comments:

Post a Comment

Pages