Kiungo wa Ivory Coast amelifanya jina lake libadilike kwenye orodha ya timu kwenye ushindi waliopata wa 3-1 dhidi ya Brighton na kuwa "Legend" kwenye klabu.
Na alipewa nafasi ya kuanza kwenye mchezo huoo huku akiwa ametajwa kama naodha kwa mara ya kwanza tangia Aprili 2016 huku mchezo wa Etihad ukiwekwa kuwa mchezo wake wa Mwisho.
Baada kupewa heshima ya watu kwa kusimama na kushangiliwa pale alipokuwa anatoka njee baada ya dakika 85 Toure aliweza kupewa jezi iliowekewa Frame.
Toure mwenye Umri wa miaka 34 amekuwa moja ya wacheza wa City walioweza kukaa kwa mda mrefu sana yeye akiwa na miaka nane kwenye klabu na ligi kuu ya Uingereza na akapata mapokezi yalio moto kabla ya mchezo kuanza.
Lakini Yaya ameweza kuona mazao yalio bora kwenye klabu na yanayovutia.
Leroy Sane aliweza kutengeneza magoli matatub kwenye mchezo uliokuwa na burudani ya aina yake na kusalimika kwake kwenye kikosi cha kwanza sasa ipo wazi.
GOOD LUCK YAYA...!!
Home
Unlabelled
YA THE GREATEST, Manchester City wametoa heshima yao kwa Yaya Toure huku akicheza mchezo wake wa mwisho Etihad.
YA THE GREATEST, Manchester City wametoa heshima yao kwa Yaya Toure huku akicheza mchezo wake wa mwisho Etihad.
Share This
Share This
About Bwherever
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment