KHALIGRAPH JONES x ROSTAM - NOW YOU KNOW - BZONE

KHALIGRAPH JONES x ROSTAM - NOW YOU KNOW

Share This
Msanii wa Hip Hop kutoka Kenya, Khaligraph Jones ameachia video ya ngoma mpya iitwayo ‘Now You Know’ ngoma hii amefanya kwa kushirikiana na kundi la muziki wa Hip Hop Bongo Rostam. Video ya ngoma hii imeongozwa na Enos Olik

No comments:

Post a Comment

Pages