HONGERENI SIMBA.!! Lakini si kwa cheche hizi za Manara. - BZONE
demo-image

HONGERENI SIMBA.!! Lakini si kwa cheche hizi za Manara.

Share This

Hafisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara ameanza kuongea baada ya Yanga kuvuliwa taji rasmi la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2017/18.

Dc246kgX4AEuEev

Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa instagram, Manara ameandika kuwa haki imechelewa huku akimshukuru Mungu kwa kufanikiwa kutwaa taji hilo


Dcskn9JWAAA96DE

Wekundu wa msimbazi Simba wametwaa ubingwa huu mara ya mwisho ikiwa ni msimu wa mwaka 2011/12 kisha Yanga msimu wa mwaka 2012/13 na Azam FC mwaka 2013/14 kisha Yanga ikatwaa tena mfululizo msimu wa mwaka 2014/15, 2015/16 na 2016/17 na sasa vijana wa Simba wanasema Simba yao, mwaka wao.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages