JOSE amkingia kifua mchezaji wake hili apigwe Rungu na FA baada ya Pogba kuzinguana na Mark Noble 'walikuwa kwenye mahaba tu.' - BZONE
demo-image

JOSE amkingia kifua mchezaji wake hili apigwe Rungu na FA baada ya Pogba kuzinguana na Mark Noble 'walikuwa kwenye mahaba tu.'

Share This
Mchezaji  wa wagonga nyundo Noble alijikuta akizinguana na Pogba pale timu zao zilipo kutana zilikuwa ni dakika tatu za mwisho ambazo zilizo weza kuithibitisha Manchester United kumaliza kwenye nafasi ya pili.

Noble alijikuta yupo kwenye mmenyuko kwa faulo ya mwishoni aliyomchezea kiungo wa United na alikuwa na bahati akuweza kutolewa kwenye mchezo.

nintchdbpict000405071296-e1525985155339

Baadhi ya wachezaji waliweza kujihusisha kwenye utata huu huku msjambuliaji wa West Ham  Andy Carroll na beki wa Manchester United Luke Shaw nao pia walijikuta wameingia kwenye vurugu hizi.

Kocha wa United aliweza kufunguka juu ya vurugu hizo na kusema kwamba ziliweza kumalizwa vizuri bila utata wowote "Nilikuwa naangalia picha za Paul na Noble na walikuwa kwenye mahaba kulikuwa na makumbatio na mabusu moto moto na kubadilishana jezi zao baada ya dakika 90 ilikuwa ni vyema,"

nintchdbpict0004050724941-e1525985796406

"Ulikuwa ni ushindani tuu tulitakiwa tupate alama kwenye kipindi cha pili na hawakutakiwa kufanya lolote kwasababu walifanya kazi mechi iliopita dhidi ya Leceister lakini wakati walicheza ili kushinda.

nintchdbpict000405072596-e1525985865893

Mourinho alifanya mabadiliko nane kwenye timu yake na anajiandaa na fainali za FA dhidi ya klabu yake ya zamani yani Chelsea Jumamosi ijayo.

Dc5TSIcXcAEO6-d

Noble na Paul walijikuta wakikumbatiana kwenye kipenga cha mwisho na walibadilishana Jezi zao ili kuthibitisha kwamba hawakuchukiana.



Lakini kocha wa West Ham aliweza kufunguka na kusema kwamba 'haikuwa haina ile ya mchezo ambao tunaoujua ilipotokea hata sikujua wote wamecheza michezo 37 na wachezaji wapo teyari kwajili ya mapumziko.'


Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages