Mourinho lazima amchukue Bale ili United waache kutuchosha, Wilshere aondoke Arsenal tu na Spurs ndio sehemu pekee kwa Zaha. - BZONE

Mourinho lazima amchukue Bale ili United waache kutuchosha, Wilshere aondoke Arsenal tu na Spurs ndio sehemu pekee kwa Zaha.

Share This
Pamoja na Manchester City kuwa hakamatiki kwenye Ligi kuu ya Uingereza unaenda kuwa msimu mkubwa kwa makocha, wachezaji pamoja na klabu na inaenda kuwapa changamoto kubwa sana Manchester United.

If Jose Mourinho wants Manchester United to stop being boring, he should buy Gareth Bale

Wamemaliza wakiwa nafasi ya pili na wanaweza wakashinda kombe la FA lakini ngoja tuone hii ni moja ya kikosi cha United ambacho kinatuuchosha sana wala hakina ladha kabisa.

Walimaliza msimu kwa goli 1 la kusuasua dhidi ya Watford, kama Jose Mourinho kama anataka kubadilisha ilo lazima haende na kumnunua Gareth Bale, alifanikiwa ilo alipokuwa Real Madrid na haiwezi kushindikana kwenye Ligiki Kuu ya Uingereza.

They finished second and could win the FA Cup but this is one of the most boring United teams

United hawatokuwa pekee ambao watamtaka kama Eden Hazard ataenda Real Madrid nina uhakika Chelsea watataka kubadilishana nao na Bale.
Baada ya msimu ulikuwa na mda muafaka na wenye mipaka Bale ndio itakuwa sehemu yake pekee ya kuziililisha Duniani kwamba yeye bado ni Wprld Class talent. na ndio itakuwa sehemu pekee kwa United kuwapa changamoto City?

Those suggesting Harry Kane will be burnt out at the World Cup need to think again

Na wale wanaotoa mawazo kwamba Harry kane atakuwa anashuka kiwango kwenye kombe la Dunia wanatakiwa kufikilia tena.
Alijipatia goli tamu sana dhidi ya Newcastle United na yale mawili ya kuizamisha Leceister city je hiko kiwango cha mchezaji ambae amekosa makali???

Kumbuka yale majeruhi yake ya Enka tulijua akirudi atakua amepotea ni amini mchezaji huyu wa Uingereza ni lazima haeende kuona faraja ya kombe la Dunia.

Jack Wilshere has proved he is still a fine player but a new challenge would do him good 

Jack Wilshere amejaribu kutuonesha kwamba yeye  bado ni mchezaji ambae yupo salama lakini changamoto mpya anayoenda kuiona Duniani ni kuthibitisha kwamba yeye bado ndo yule yule Wilshere tunaemjua kwasababu mlezi wake anaondoka na lolote linaweza likatokea chini ya kocha mpya Arsenal.

Jack anapendwa sana na mashabiki wa Arsenal kama ilivo Kane kwa Tottenham, hana ata magoli mengi wa Assist nyingi na mchezaji mwenye kipaji kama chake anatakiwa kuwa na vitu hivyo akae akijua kocha mpya akija tuu atataka vitu zaidi kutoka kwake.

Na vile vile anatakiwa kumuangalia mwenzake Oxlade-Chamberlain alivoboreka tangia tangu alipoondoka Emirates.

Wilfried Zaha is a top-six manager’s dream — a game-changer who on his day is unplayable

Ila kwa Wilfried Zaha ni mchezaji ambae ni ndoto kubwa ya makocha wengi kuwa nae ni Game changer lakini hapati malipo yalio halali.

Hiki sio kipaji cha kupotea hivi hivi tuu akuweza kufanikiwa Manchester United japo amekuwa kwenye kiwango bora sana labda anataka kubaki Selhust Park ila Tottenham ata kesho wanamtaka kwani nani aliemuangalia hapo mwanzo.

No comments:

Post a Comment

Pages