I'M Not Black, I'M Kanye, Kanye West anataka Uhuru-Uhuru kwa wakina nani?? - BZONE

I'M Not Black, I'M Kanye, Kanye West anataka Uhuru-Uhuru kwa wakina nani??

Share This
Hakuna kitu chochote kinaweza kutokea tena, hakuna uwezekano huo kabisa lakini hii ilikuwa 1982 na Michael Jackson alipokuwa wakimchukulia kama malaika lakini sio kama Malaika ambae alikuwa na wigo na nguvu, mbali kulikuwa na Siri kubwa kwake yeye. Malaika jinsi mtoto alipokuwa anamwambia kitu na kumsikiliza, Malaika na jinsi alivoweza kuishi kama gwiji.Micahel Jackson alikuwa akijadiliwa na watu wa aina tofauti sana alikuwa Mfalme wa machizi alikuwa akikanyaga mguu wake kwenye jiwe na kubadilika kuwa mwanga ata alipokuwa akivaa mavazi yake yalikuwa yakimulika popote alipo yani yeye alikuwa ni mwanga.Nani ambae angeweza kugeza zile swaga za Michael Jackson za Thriller mpaka pale alipokuja kua mtu tofauti kabisa na nani akieweza kuamini kwenye miujiza na nani alijua kama mtu mweusi ni lulu kubwa sana Duniani ambae anaweza akafanya lolote.Jiamini kwa kile ulichonacho si kwa rangi yako mpaka muonekano wako wote na icho ndicho mama alichoweza kuniambia mimi, kuna mambo unaweza ukayatekeleza na kuwashangaza watu wengi na wakasahau wewe ulikuwa nani nyuma na hiko ndio kingeweza kuwa sahaurisha kwamba ukiwa Muafrika ambae unavutia na mzuri na mwenye rangi ya udongo yenye kuvutia na sisi pia tunge sahau kwamba kubadilisha pua yake macho yake na rangi yake si kitu kwetu sisi na icho ndio Michael Jackson ndicho alicho jikuta huko miaka ya nyuma ya disco lilipokuwa likiwika.Kwasababu nikiwa nafikilia miaka ile ya nyuma ninafikilia watu weusi jinsi walivyokuwa wakitoa ngoma zao na kutikisa Dunia nzima na zikiwaacha watu na tabasamu zito usoni na nikiwafikilia wale wanawake wa Kiafrika ambao walikuwa halisi na wanajipenda walivyo.KANYE WEST ni kama Mfu alie hai kwasasa kutoka kwa  Taifa kubwa na yeye binafsi kujikuta amelala na kumkumbatia Donald Trump. Alirushiwa mvua za mawe kutoka kwa watu tofauti Duniani akiwemo kaka yake, watu walishangazwa sana kwa kukandamizwa na Kanye na kujikuta na maswali yasiyokuwa na majibu kwenye vichwa vyao, mbinu zake zilikuwa zikielemewa na Uoga juu yake.Kwanini ni Trump na sio Obama, nani kwani alimpa matumaini kijana huyu mweusi kutoka upande wa Kusini mwa Chicago kwamba angekuwa Raisi wa taifa kubwa Duniani. West ni mng'ang'anivu sana na analeta purupushani zilizo ndogo na kubwa lakini nyingi ni ndogo (Jay-z, Beyonce, Barack Obama na Nike wote walitokea kwenye mjadala mzito kwa kanyeHii imeleta minong'ono isio kuwa na mwisho na wala kutosahurika ni vugumu kusahaurika kwasababu amefezehesha watu wengi sana si Amerika tuu hadi nyumbani kwake Afrika akumbuke pale alipo sasa hivi sisi ndio tulioingezea jina kabla ya kuwa Amerika.

No comments:

Post a Comment

Pages