Hivi ndio DJ Khaled alivoitumia siku ya MAMA Duniani na mama watoto wake... - BZONE

Hivi ndio DJ Khaled alivoitumia siku ya MAMA Duniani na mama watoto wake...

Share This
Ndio Dj Khaled anaweza asikubali au kutokuwa tayari kufanya baadhi ya vitu kwa mke wake Nicole Tuck lakini hiyo haina maana kwamba hamukubali au kutomuheshimu. 

DJ Khaled, wife Nicole Tuck and son Asahd Tuck Khaled on the catwalk
Rookie USA show, Los Angeles, USA – 15 Feb 2018
ROOKIE USA Fashion Show

Siku ya Jana alitumia fursa hiyo kupeleka ujumbe kwa baby mama wake wa kusema "Happy Mother's day to the Queen!!" aliipa ujumbe huo picha ambayoa alikuwaa akimkumbatia Nicole na kuandika tena "To my best Friend the Love of My Life! Me and Our Son @asahdkhaled we love you so much, Thank you for being you Thank you for loving me and ASAHD!! Thank you for our biggest blessing our son! When i first met you i knew that i would be wit you Forever!!!"


Kama mashabiki wanavo jua, Post hii ilitokeaga baada ya rapa huyu kujikuta chini ya Moto aple alipokuwa akihojiwa na akakubali kwamba hayupo teyari kufanya nae lolote! "A Woman should praise the Man-the King" alisema pale alipokuwa akijitetea kwenye kipindi cha The Breakfast Club.

DJ Khaled
MTV Movie & TV Awards, Arrivals, Los Angeles, USA – 07 May 2017

No comments:

Post a Comment

Pages