'Kwangwaru' Kutoka kwa Harmonize yazidi kukimbiza Kimataifa. - BZONE

'Kwangwaru' Kutoka kwa Harmonize yazidi kukimbiza Kimataifa.

Share This
Harmonize amefanikiwa kuingiza ngoma yake ya Kwa Ngwaru kwenye Top 5 za Afro Boss Airline DNA za kipindi cha Destination Africa kinachoendeshwa na DJ Edu kupitia BBC Radio One Xtra.

Related image

Wimbo huo umefanikiwa kushika namba mbili kwenye chati hizo wakati namba moja ikishikiliwa na Davido kupitia wimbo wake mpya wa Assurance.


Wiki iliyopita wimbo huo ulishika namba tano kwenye chati hizo.

Image result for harmonize
Wasanii wengine walioingia kwenye chati hizo ni Shado Chris (Kitadi), Bils na Giggz (Loudah) na Da Capo (Take It All).

No comments:

Post a Comment

Pages