Mshambuliaji huyu mwenye umri wa miaka 20 alijiunga Nou Camp msimu uliopita kwa ada ya Pauni Milioni 95 lakini amekuwa akiangaika kuweza kuweka mambo sawa baada ya kupata tatizo la misuli pale alipoanza kampeni yake ya kuicheza klabu hiyo.

Dembele pia amejikuta yupo kwenye wakati mgumu tangia alipojiunga na klabu hiyo ambapo alijiunga na Barcelona akitokea Borussia Dortmund akiwa mtu ambae amekuja kuziba pengo la Neymar ambae alijiunga na Paris Saint Germain (PSG)

Na Klopp alipoulizwa jana kama anania na mchezaji huyo aliweza kujibu na kusema kuwa 'Kwani yupo sokoni? lakin sasa nina nia nae'
Mbali na kupona jana aliachwa nje kwenye benchi na tukimuona kacheza mchezo mmoja tu ambao kamaliza dakika zote 90 na akipata goli moja tuu kwenye Ligi.
No comments:
Post a Comment