Tukiona ukoo mzima ya Kardashian ukiwa bado ujakubaliana na Tristan Thompson kwa kosa la kukutwa akifanya ngono na msichana mwengine huku Khloe akiwa mjamzito, imetokea mama huyu mpya teyari ameshamsamehe Tristan. 
Mahusiaono haya yalikutwa wakipiga chakula cha mchana kwenye mgahawa mmoja wapo wa Cleveland jana Mei 4 japo kulikuwa na maneno kadhaa mtaani yakiendelea kuwa hawaongei kwenye video ambayo ilidakwa na mtandao wa TMZ ilionekana wakiwa pamoja wakipeana mapenzi moto moto huku wakifurahi kwa pamoja.

Couple hii ilimkaribisha mtoto wa kike Aprili 12 lakini baada ya siku tano mapema Tristan nyuma alionekana akiwa na mfanyakazi mmoja wa klabu kwenye mji wa New york na akarudi nae kwenye hoteli.
No comments:
Post a Comment