
Travis aliweza kutoa yale aliyo sikia kutoka kwa promota wa tamasha ilo na kudai kwamba kampuni yake binafsi ndio iliweza kumsafirisha na sio Promota kutokana na nyaraka Travis alisema akuweza kumpeleka kwenye show ya Minnesota.
Alisema Feb 3 ndio ilikuwa ni ratiba kwajili ya show na hakupata plan zozote za safari hiyo kwenye shtaka ilo Travis aliweza kujifunza kuwa PJAM alikuwa hana fedha zozote mkononi za kuweza kumpatia usafiri au pesa nyingine zaidi kwajili ya perfomance yake.

Travis aliweza kukubali kuwa aliweza kulipwa kiasi cha Dollar l50,000 za kimarekani ikiwa kama advance.
Scott anaamini kwamba kuna mtu pembeni aliweza kuongea na PJAM juu ya dili hilo na aliweza kulipuka na kusema uzalilishaji ndio alioweza kuonesha na makubaliano yaliweza kusainiwa na pande zote mbili kwajili ya show.

Lakini kutokea kwenye vyanzo vya habari vinasema licha ya usafiri hali ya hewa pia iliweza kusababisha asiweze kutokea kwenye show hiyoo huku PJAM anafikilia moja kwa moja kuwa Travis alikataa kutokea kwenye tamasha ilo.
Licha ya hivyo siku ya leo Jumatano Travis scott ataweza kusikika kwenye ngoma mpya alioshirikishwa na Rae Sremmurd.
No comments:
Post a Comment