Chelsea wameenda njia kwajili ya kuweza kumuamisha kiungo wa Nice Jean Michael Seri kwa Pauni Milioni 35 lakini hatofikilia kujiunga na klabu hiyo kutokana na hali aliyokuwa nayo mpaka itolewe hatma yake.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 ameweza kuonwa kwenye msimu huu na kuwa target kubwa ya wanadarajani kutokana na ripoti lakini kuna kutofahamika nani anaweza akachukua mikoba ya Conte au Conte mwenyewe kuendelea.
Antonio Conte anaonekana kama yupo nyuma ya mwamvuli alioushika mwenyewe msimu huu na uhamisho wa Seri hautoweza kufanyika mpaka atakapo julikana anae chukua mikoba ya Conte.
No comments:
Post a Comment