PEP GUARDIOLA ALIONGEA KAMA ALIKUWA ANAJUA MANCHESTER CITY WANAENDA KUTOKA , UTAWALA WAKE NDO KWANZA UNAANZA,,!!! - BZONE

PEP GUARDIOLA ALIONGEA KAMA ALIKUWA ANAJUA MANCHESTER CITY WANAENDA KUTOKA , UTAWALA WAKE NDO KWANZA UNAANZA,,!!!

Share This
Kama ukupata ile picha pale alipokuwa akiwaonesha kwamba yeye anamaajabu, aligongwa nyundo ya utosi akiwa nyumbani kwa kuwekewa alama ya kovu moyoni na sio kichwani.



Kwa kipimo kizuri kutoka kwa Pep Guardiola aliongea akiwa na furaha akiwa anaongoza kundi la wachezaji kutokea City na ilikuwa ni kama mwanga kwake kila siku.

Sawa Pep. Tunaelewa.

Chochote kitakachotokea dhidi ya Liverpool sisi tutakubali tuu.

Chochote kilichotokea dhidi ya United tumeshakubali sisi.

Ilikuwa ni kama maono alikuwa anajilazimisha yeye binafsi kwa ule ubora aliokuwa nao kwenye michezo kadhaa zaidi ya kwenye michuano ya mtoano kutokea kwenye klabu bingwa Ulaya mpaka FA.



Ukweli ni kwamba Guardiola anajua kikosi chake ndio njia pekee ya kumfanya yeye kuonekana bora na kuendelea kuwekwa kwenye mabano yale yale akiwa Barcelona au Bayern Munich.
Habari njema ni kwamba alisikika kama atakuwepo kuwapa msukumo wa kwenda kuwa wakubwa na kuwa sawa na klabu kama Man United, Barcelona, Real Madrid na Bayern Munichen.



Kwa ule muonekano wake alioweza kuonekana kwenye Robo fainali mzunguko wa pili ilikuwa ni kama changa la macho.

Kwa ule Mzuka aliokuwa nao ilikuwa ni kama amekusudia kufanya mwendelezo na maneno yake yalikuwa yanatuweka kwenye giza nene machoni mwetu hasa pale aliposema "sijui nini kitaenda kutokea lakini atutoweza kufanya miujiza"



"Tuko hapa kwa mda mrefu sio kwa mda mfupi tunatakiwa kujiandaa kwajili ya msimu mwengine kwasasa tunaitaji mda zaidi na msimu ujao utakua bora zaidi."



Mashabiki wa City wanaamini Guardiola yupo pale sio kwa mda mfupi yupo kwa kipindi kirefru lakini inasikika kama amejianda kufanya kazii ili kuibadilisha mabaharia kwenye kiwango flani barani Ulaya basi itakuwa imekaa vizuri.

Ngoja niwakumbushe ndani ya Uingereza City anaitaji alama tano tu iliaweze kutangaza ubingwa akiwa amebakiza michezo sita tuu kwenye ligi kuu 



Lakini Guardiola amebaki kusisitiza kile kilicho watokea kwa Liverpool na Manchester United bado anaamini timu yake ni bora na nzuri.

Na hapa tunaanza kupata picha kamili ya Pep lakini ni ile kofia inayomfanya ajifiche macho pale tulipokuwa tunasubiria draw ya nusu fainali ipangwe natumaini dua zake zishafika sasa.

No comments:

Post a Comment

Pages