

Mrembo huyo amefanikiwa kutengeneza historia kwenye mtandao wa Apple Music kupitia albamu yake mpya ya kwanza Invasion of Privacy.

Albamu hiyo imefanikiwa kuwa streamed kwa mara milioni 100 kwa wiki moja tangu itoke.

Wakati huo huo ‘Invasion of Privacy’ imeshagonga Gold kwenye mauzo yake sokoni ndani ya siku sita ikiwa imeuza nakala (Copy) zaidi ya laki tano huku nyimbo za album hiyo ikiwemo wa Be Careful ikishika nafasi za juu kwenye chati za Billboard.
No comments:
Post a Comment