PEP GUARDIOLA ALIFANYA MAKOSA ANFIELD, ALIWAPA HESHIMA KUBWA SANA KLOPP NA LIVERPOOL KWA KIKOSI ALICHOPANGA. - BZONE

PEP GUARDIOLA ALIFANYA MAKOSA ANFIELD, ALIWAPA HESHIMA KUBWA SANA KLOPP NA LIVERPOOL KWA KIKOSI ALICHOPANGA.

Share This
Wote kwa pamoja walisimama mikono yao ikiwa kwenye mifuko wakiwa wanazunguka kwenye eneo lao la ufundi ilionekana ni motisha ya kuwasogeza mbele.



Ikiwa kama picha ambayo iliwahukumu wote kwa pamoja tukiwa tunaongelea mda wote wanapokutana wakichukilia ni mashindano makubwa na alizani kwa vijana aliokuwa nao au aliowapanga wanaweza wakaimili ile mikiki.

Liverpool defender Trent Alexander-Arnold tracks the forward run of Manchester City striker Gabriel Jesus 

Klopp alikuwa na muonekano dhaili wa kukata tamaaa na sio kama siku zote tulivomzoea au ilikuwa ni moja ya mipango yake maana ata magoli yalipokuwa yanaingia yeye alitulia tu.

Sadio Mane leaves Manchester City centre-back Nicolas Otamendi for dead as he charges into the penalty area

Guardiola alikuwa ni bandia kabisa alikuwa ni kinyume cha Guardiola tunayemjua alikuwa tofauti sana kama sio siku zote tulivomzoea alikuwa amepakwa rangi ya kijivu na nyeusi kwenye mwili wake.

Salah slides to his knees as Roberto Firmino and Andy Robertson join him in celebrating his opening strike in the tie


Salah wheels away in delight after notching his 38th goal of an astonishing debut season at the Merseyside club

Sawa ata kwenye benchi lake la ufudni lilikuwa limebanwa midomo kwa pini yenye kutu sikujua walikuwa na nini kwa siku ya jana hasa pale city walipo wapa zawadi Liverpool ya goli la kwanza ambalo liliwafanya watengane na kuzalisha zaidi ya lile walilopata.

The England international celebrates after scoring in his first Champions League quarter-final appearance

oxlrade-Chamberlain akishangilia bao lake

Guardiola alianza kupata matumaini na kuanza kutunisha misuli kwa kuwaweka kwenye presha kubwa Liverpool alivopigwa ata lile kwanza Muhispania alikuwa anacheka tuu na bado alikuwa na nguvu za kupiga kelele za matumaini akijifanya anaendelea kuwasukuma wasogee mbele.



Kwenda kule mbele na kushambulia alijisahau kuwa huku nyuma ameacha mianya City walionekana bado wanaweza wakamudu mikiki na bado wanauwezo wa kurudisha sasa pale Liverpool walipovunja tuu tofali jingine wakajikuta wanapaniki.



Hii ilianza kutokea kule kwa Walker ambae alimpa Salah goli la ufunguzi na zaidi lile la Oxlade-Chamberlain ilikuwa ni rahisi sana kabla ya mabeki kupoteana na kuwa vipofu walio paniki na kupaniki ndio kuliendelea kufata

Liverpool midfielder James Milner gets his foot to the ball and boots it upfield after a goalmouth scramble in front of the Kop

Lile goli la pili kwenye dakika ya 21 ilibadilisha uhalisia ya mchezo kabisa na kubadili hsia za Guardiola kabisa mda huo huo na kumfanya kuwa na mawazo, hasira ata kwa timu yake. Vitu kama hivo vinaleta ubaguzi sana na kupoteza mawasiliano ata kama wangepigana vipi, tunajuaga siku zote yupo chana na siku zote Guardiola anawatakaga wachezaji wake wasitoke nje ya game plan mpaka mchezo unaisha hii inamaanisha hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele tuu.

wachezaji wa Liverpool na kocha wao wakishangilia ushindi.

Labda walikuwa hawajakubaliana na maamuzi ya kocha wao kwa siku ya jana kwasababu Guardiola wazi kabisa alifanya makosa kwenye kikosi chake cha kwanza kilichoanza kwa siku ya jana.


Pep Guardiola looks crestfallen on the touchline as Liverpool the first-half of the first-leg Champions League quarter-final

Kumbuka Klopp kabla ya mechi alinukuliwa akisema kocha mshindani mwezake kutoka Hispani ni mzuri sana kushinda ata yeye alikuwa yupo sawa kwasababu ni moja kati ya mbinu za kujitetea na kuteka akili za watu na siku zote alijua nini anachotaka.

Guardsiola alionesha heshima kubwa sana ambayo ilipitiliza aliporudiana na Klopp ambaeni kocha alievunja rekodi yake msimu huu ya kutofungwa na timu ya kingereza ule uhamuzi wa kumuweka Raheem sterling nje na kuweka kikosi cha kuzuia ndio kilicho mponza.



Eeeh City ni wazuri wewe tena sana si unaona kipindi cha pili walivokuja waliwakaba koo majogoo japo kisu kilikuwa na kutu inabidi akubali kosa kwakweli la kumuweka Sterling nje na angemuweka De Bruyne juu zaidi na sio chini angeruhusu zile huduma za kawaida zingeendelea.

Klopp embraces the Liverpool talisman as he makes his way down the tunnel after picking up an injury just after half-time

Kwa Klopp 3-0 alijua kabisa bado azitoshi na bado mchezo ulikuwa mbichi mikono yake ilikuwa ikitililika jasho huku kifua cahke kikisema mengi.


No comments:

Post a Comment

Pages