Nedy Music Ft.Ruby - One and Only Official Music Video - BZONE

Nedy Music Ft.Ruby - One and Only Official Music Video

Share This
Msanii wa muziki Bongo, Nedy Music ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo  ‘One and Only’ ambayo amemshirikisha Ruby. Audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na YOGO BEATS , wakati video imeongozwa na Hanscana kutoka Hanscanabrand.  


No comments:

Post a Comment

Pages