KUZMA ASHINDA 30, HUKU LAKERS IKIWAPIGA SPURS 122-112 - BZONE

KUZMA ASHINDA 30, HUKU LAKERS IKIWAPIGA SPURS 122-112

Share This


Kyle Kuzma na Los Angeles Lakers wamekubali kirahisi kutokana na uchovu uliopitiliza kwenye msimu huu wa NBA hasa dhidi ya timu ambayo wanachezea ayo Playoff,



Badala yake Lakers wamejikuta wakipoteza michezo mitatu.

Kuzma alishinda mara ya sita ya alama 30 huku Lakers wakijikuta wanaokota dodo dhidi ya San Antonio Spurs kwa ushindi wa 122 kwa 112 kwenye usiku wa Jumatano.



Kuzma ambae alieingia kwenye historia ya NBA akiwa na alama 1200 akiwa na rebondi 450 na akiwa na migongosheo 1503 msimu huu lakini kitakwimu inaonesha Lakers wameshinda mara nyingi zaidi ya Spurs wakipata ushindi mara 14-4.

Siku ya Jumamosi Spurs wataenda kukutana na Portland Trail Blazers huku Lakers wanawakaribisha Minnesota Timberwolves siku ya Ijumaa.

No comments:

Post a Comment

Pages