KARIBU WALID KWENYE BONGO FLAVA, B DOZEN PAMOJA NA NAVY KENZO WAMEUNGANA KUMKARIBISHA MSANII MPYA WA BONGO CHINI YA PATORANKING. - BZONE

KARIBU WALID KWENYE BONGO FLAVA, B DOZEN PAMOJA NA NAVY KENZO WAMEUNGANA KUMKARIBISHA MSANII MPYA WA BONGO CHINI YA PATORANKING.

Share This


Kundi la Muziki la Navy Kenzo na mtangazaji wa Clouds Fm kupitia kipindi cha XXL, B 12 pamoja na msanii wa muziki Nigeria Patoranking wametoa baraka kwa msanii mpya wa muziki wa Bongo Flava Walid anayesimamiwa na Patoranking.

No comments:

Post a Comment

Pages