KUTOKA YAYA TOURE MPAKA SOLANKE MAFUNDI WALIOWEKEWA GUNDI KWENYE SITI ZAO ZA BENCHI. - BZONE
demo-image

KUTOKA YAYA TOURE MPAKA SOLANKE MAFUNDI WALIOWEKEWA GUNDI KWENYE SITI ZAO ZA BENCHI.

Share This
Kwa baadhi ya nyota wa ligi kuu  Uingereza ambao wamekua watu wa kukaa benchi wamekua na kazi moja tuu katika vilabu vyao huku wakipigania nafasi ya kuweza kusikika kwa mashabiki zao.

.com/blogger_img_proxy/

Kukiwa na ushindani wa nafasi pamoja na upande wao, Mchezaji wa Liverpool Dominic Solanke na Yaya Toure wa Manchester City wamekuwa wakiachwa nje kwa hesabu za dakika kadhaa kwenye benchi na kutoonekana kwenye uwanja karibu msimu mzima

.com/blogger_img_proxy/

wote kwa pamoja hawakuweza kuonekana kwenye klabu bingwa Ulaya na pia wamejikuta kwenye ligi kuu Uingereza bado hawajapata mda wa kuonesha msaada waliokuwa nao kwenye vilabu vyao.

.com/blogger_img_proxy/

Kwa Toure yeye amekuwa akitemwa tangia Pep Guardiola achukue nafasi ya kukinoa kikosi cha City hasa msimu huu ametumia asilimia 95 ya kukaa benchi msimu huu.

.com/blogger_img_proxy/

Solanke ameshinda kiatu cha dhahabu kwenye kombe la Dunia la chini ya miaka 20 msimu uliopita lna akitokea Chelseaa kwenda kwenye mji wa Merseyside mpaka sasa akujaleta matokeo yoyote kwake yeye.

.com/blogger_img_proxy/

Lakini kati Toure au Solanke wamechukua tuzo ya wachezaji ambao wamekwa sana nje kwenye hatua ya msimu huu huku tukimuona nyota wa Burnley nae pia akiwekwa sana benchi akiwa na masaaa 38 ambayo ametumia kukaa nje ya uwanja.

Pia mchezaji wa Tottenham Fernando Llorente nae pia amegundulika kama yeye mwenyewe ajajiua amekua akipigania sana namba yake pale anapopata nafasi ata kidogo tuu kwasababu nafasi ya kuweza kumfunika Harry kane yaitaji kazi ya ziada.

.com/blogger_img_proxy/

Westwood nae pia amekutana na hii hali inabidi afanye kazi ya ziada ili aweze kumtoa Pape Souare wa Crystal Palace. Beki huyu amekuwa kiwango kizuri kwenye misimu kadhaa.

Lakini kujikuta wewe binafsi unakuwa haupo kwenye upendeleo wa timu na kuchibiwa kaburi kabisa kuna maswali mengi ya kujiuuliza wewe mwenyewe kutokea msimu wa mwisho uliocheza karibuni michezo yote.


TIME SPENT ON THE BENCH  

1. Ashley Westwood - Burnley - 1 day, 14 hours, 19 minutes
2. Dominic Solanke - Liverpool - 1 day, 12 hours, 54 minutes
3. Charlie Adam - Stoke - 1 day, 12 hours, 39 minutes
4. Connor Goldson - Brighton - 1 day, 10 hours, 30 minutes
5. Fernando Llorente - Tottenham - 1 day, 9 hours, 44 minutes
6. Lys Mousset - Bournemouth - 1 day, 9 hours, 44 minutes
7. James McClean - West Brom - 1 day, 9 hours, 9 minutes
8. Kevin Long - Burnley - 1 day, 9 hours, 0 minutes
9. Luciano Narsingh - Swansea - 1 day, 8 hours, 49 minutes
10. Yaya Toure - Manchester City - 1 day, 8 hours, 47 minutes


kwa hatua hii mchezaji kama james Tarkowski ametumia mda mwingi akiwa benchi kuliko mchezaji yeyote kwenye ligi licha ya kutumia asilimia 83 akiwa benchi ameweza kurudi na kuonesha kwamba walikuwa wanakosea kumuweka benchi.

.com/blogger_img_proxy/.com/blogger_img_proxy/

Tarkowski hayupo peke yake, Ashley Young na Fabian Delph wanaweza wakaungana nae wote wawili walipata nafasi ya kucheza beki ya kushoto wameonekana kuaminiwa na makocha wao na kufikiliwa kutokuuzwa kwenye dirisha la usajili.

Lakini wachezaji kama Alberto Moreno alikuwa ni mchezaji ambae alipata nafasi lakini akashindwa kuonesha zaidi ya pale alipokuwa huku mchezaji mwenzake akiwa anaelekea kukata tamaa Adam Lallana akiwa analifikilia kombe la Dunia akiwa apati nafasi ya kucheza na kusumbuliwa na majeruhi ya hapa na pale.


Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages