CHEKI JINSI KARRUECHE TRAN ANAVOKULA MAISHA.... - BZONE

CHEKI JINSI KARRUECHE TRAN ANAVOKULA MAISHA....

Share This
 

Karrueche Tran ambae alikuwa mpenzi wa Chris Brown ameonekana kuwa na furaha kwenye mahusiano yake na Victor Cruz, 31, ambaye ni mchezaji wa American football.




Wawili hao wameonekana jana mjini Miami wakiwa na furaha huku wakiogelea pamoja kwenye swimming pool huku wakisindikizana kwa mabusu moto moto.
Karrueche na Cruz walianza mahusiano yao tangu mwezi Oktoba mwaka jana baada ya Tran kuachana na Quavo wa kundi la Migos.

No comments:

Post a Comment

Pages