'MSIFANYE KAZI YA KUNILAUMU MIMI KWA KUSHINDWA KUTETEA UBINGWA' -ANTONIO CONTE. - BZONE

'MSIFANYE KAZI YA KUNILAUMU MIMI KWA KUSHINDWA KUTETEA UBINGWA' -ANTONIO CONTE.

Share This
Antonio Conte amesisitiza yeye sio wa kulaumiwa kwa Chelsea kushindwa kutetea kombe.



Na alisema mchezaji yeyote ambae alikuwa anafikilia ni kama kusukuma meli majini kama wamekosa kukaa nafasi ya nne na kama walikuwa na majukumu ya kuwafanya waendelee kukaa kwenye nafasi yao wanayo stahili kukaa ili waweze kurudi kwenye klabu bingwa Ulaya.



Wanadarajani matumaini yao ya kukaa nafasi ya nne yameisha kwasasa baada ya kudondoka alama 10 nyuma ya watu wanaoshikilia nafasi hiyoo ambao ni Spurs.

Chelsea kwasasa wamebakiza matumaini ya kombe la FA tu ambapo wataenda kukutana na wapinzani wao wa kwenye ligi ambao ni watoto wa St. Mary (Southampton) kwenye hatua ya nusu fainali Jumapili.




Kumaliza nje ya nafasi ya nne kumeweza kuleta madhara kwa wanadarajani kupunguza kasi ya wachezaji wake kama Eden Hazard na Thibaut Courtois. Lakini Conte amesema "kama atutoenda kwenye klabu biongwa Ulaya inamaana kwamba tunatakiwa tugawanye makosa pamoja na wachezaji"



"Hii sio mara ya kwanza. Miaka miwili iliopita ilitokea hivi hivi  sikuwaona wachezaji wengi wakiondoka tumefanya makosa mengi sana msimu huu, mimi, wafanya kazi wangu, wachezaji wangu pamoja na klabu kwa ujumla"


No comments:

Post a Comment

Pages