Harmonize Ft Diamond Platnumz - Kwangwaru Official Music Video - BZONE

Harmonize Ft Diamond Platnumz - Kwangwaru Official Music Video

Share This
Kutoka WCB, Harmonize ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘ Kwa Ngwaru’ ambayo ameshirikisha Diamond Platnumz, ngoma imefanyika Wasafi Records na producer Laizer wakati video imeongozwa na Kenny kutoka Zoom Production.

No comments:

Post a Comment

Pages