WASANII WA HIP HOP WAPATA SHAVU KWENYE JARIDA LA NEWYORK TIMES - BZONE

WASANII WA HIP HOP WAPATA SHAVU KWENYE JARIDA LA NEWYORK TIMES

Share This
Mwezi wa tatu utakuwa mzuri hasa kwa mashabiki wa muziki wa Hip Hop pale watakapoziona sura za watu wanowakubali katika jarida la New York Times la mwezi huu.

Jarida hilo lililopabwa na sura tofauti tofauti kama Cardi B, SZA, Gucci Mane na King Krule litawapa nafasi wakali hao kuziachia ngoma 25 wanazipenda na kuelezea muziki unapoelekea.

’’McGinley’s dreamy portraits of these musicians, along with a sketchy, scribbly, partly hand-drawn design, set a loose, creative tone for the issue.It’s the feeling of being present at the creation, a witness to the birth of new aristic energies, which is what this annual issue is all about,” ameeleza mhariri mkuu wa Jarida hilo Jake Silverstein

No comments:

Post a Comment

Pages