TAZAMA JINSI MSUVA ALIVOIPA USHINDI KLABU YAKE KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA - BZONE

TAZAMA JINSI MSUVA ALIVOIPA USHINDI KLABU YAKE KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA

Share This
Jana usiku kuna baadhi ya michezo ya kombe la klabu bingwa Afrika imechezwa. Klabu ya Difaa El Jadidi ya Morocco ambayo anacheza Mtanzania, Simon Msuva, ilicheza na AS Vita Club ya Congo DRC na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0. Bao hilo la El Jadidi lilifungwa na Msuva kunako dakika ya 9

No comments:

Post a Comment

Pages