'NI WACHEZAJI WAZURI-LAKINI HAWAPO KWENYE KIKOSI CHA KWANZA' - BZONE

'NI WACHEZAJI WAZURI-LAKINI HAWAPO KWENYE KIKOSI CHA KWANZA'

Share This
Kocha wa Everton Sam Allardyce alinukuliwa akisema alipata tabu sana kufanya chaguo lilo sahihi kwenye kikosi chake hasa kwenye dirisha dogo la usajili.

Ugumu aliokuwa na aliokutana nao chief wa Everton ilikuwa ni kwanini Ademola Lookman alikataa kwenda kwa mda Derby Country.

Lookman ni supremely talented ambae anacheza nafasi ya winga ambae alifanya maamuzi yake mbali na hali aliokuwa nayo yeye na Allardyce ambae alisema ataka Lookman aende popote zaidi ya kwenye ligi ya Bundesliga na klabu ya RB Leipzig.

"Alikuwa yeye binafsi anapenda kuchagua Ujerumani.' Alisema kocha wa zamani wa Uingereza "tumejaribu kumsawishi asiende kwasababu tumefikilia atapata changamoto kubwa sana kwenye ukuaji wake. Nina Imani ametuonesha kwamba tulikuwa atupo sawa sisi."

Ndani ya siku mbili Lookman amefanya Uanzaji mzuri kwenye kazi aliopewa akisogea akitokea benchi na kuipatia ushindi RB'L mbele ya 49,000 pale Borussia Monchengladbach,
Tangia alipotokea kwenye michezo minne kati ya mitano amekuwa mzuri sana chini ya Leipzig akianza mara mbili na umuhimu wake sasa ushaonekana pale Goodison Park.

Mandela Egbo amekuwa ni moja kati ya wale waliokuwa 2015 akiondoka pale Crystal Palace na kujiunga na Borussia Monchengladbach akiwa na miaka 17 na sasa anamiaka 20 na ameshacheza michezo kadhaa ya Bundesliga huku akiwa na Reece Oxford ambae yupo kwa mkopo wa mda mrefu akitokea west Ham.

Lakini usimsahau huyu mtoto wa Arsenal Kaylen Hinds ambae yupo Wolfsburg huku Jadon Sancho akiwa ni mchezaji mwenye Profile kubwa akitokea Manchester City na kuuzwa Borussia Dortmund kwa ada ya pauni milioni 8 ambae amekuja kurithi nafasi ilioachwa wazi na Ousmane Dembele ambae alitimkia Barcelona.

Pamoja na zile ela wanazotumia kwenye usajili wa wachezaji hawaoni yale mazao yao yanavyofanya na waliyapanda wenyewe na wakayaacha wakijua eti yameoza.

wale wanaolipwa zaidi kwenye vilabu hususani vya kingereza wanakuwa hawa waamini hawa watoto wakati wanavipaji vya haina yake ambavyo vinaweza vikawazidi ata wale wanaolipwa fedha nyingi 

Ebu jaribu kukumbuka na kuangalia kile kikosi cha Uingereza kilichobeba kombe la Dunia kwa vijana au kile cha Ujerumani kilichosheini vijana watupu kwenye siku za hivi karibuni na usoni.

No comments:

Post a Comment

Pages