SPURS WALIOTA KAMA WATAENDA LAKINI JUVE WAMEWAFANYIA KAZI YA KIITALIANO - BZONE

SPURS WALIOTA KAMA WATAENDA LAKINI JUVE WAMEWAFANYIA KAZI YA KIITALIANO

Share This
Juventus wanaenda robo fainali kwenye kombe la mabingwa ulaya baada ya kuichapa Tottenham 2-1 wakiwa na ushindi wa aggregate wa 4-3.


Spurs walikuwa na faida ya magoli mawili waliopata Turin na kujipatia goli la uongozi kupitia Son ambae alishinda kwenye michezo sita iliopita  lakini wababe wa Serie A waliweza kujipatia goli la kusawazisha kupitia Gonzalo Higuain kabla ya Paulo Dyabala ambae alimalizia kwa goli la ushind na Spurs wanaenda kuishia atua ya 16 bora. 

Mbali na kucheza vyema ila uzoefu ndio uliowamaliza, Tottenham hawana uzoefu wa klabu bingwa ulaya kabisa na hawawezi kushindana na Juventus lakini mda kadli unavoenda wataendelea kujifunza.

No comments:

Post a Comment

Pages