CHUO CHA EMMANUEL AUSTIN KIMEACHI HII HAPA SASA HIVI... - BZONE

CHUO CHA EMMANUEL AUSTIN KIMEACHI HII HAPA SASA HIVI...

Share This
Tanzschule Weiss ambacho kinafundisha dansi kinachomilikiwa na Mtanzania Emanuel Austin na mkewe Larissa Bertsch, kimeendelea na mfululizo wa kuachia video zao za kudansi kupitia nyimbo za mastaa wakubwa duniani

Safari hii wameachia video dancing ya wimbo wa ‘Bartier Cardi’ wa Cardi B ambao amemshirikisha 21 Savage.

No comments:

Post a Comment

Pages