SASA NI ZAMU YA KANYE WEST, AWEKA RANGI YA PINK KWENYE NYWELE ZAKE. - BZONE

SASA NI ZAMU YA KANYE WEST, AWEKA RANGI YA PINK KWENYE NYWELE ZAKE.

Share This
Kim Kardashian alishangaza mashabiki wake kwa kuweka nywele za Pink na sasa amemshauri mume wake Kanye West kuweka rangi ya PINK kwenye nywele zake.
Kim Kardashian and hubby Kanye West swap hair colours
Weekend hii staa huyu wa hiphop alionekana kwenye picha na shabiki akiwa na nywele za PINK.


Kanye kwa sasa yupo studio akitayarisha album yake mpya itakayokuwa muendelezo wa cd yake ya mwaka 2016  The Life of Pablo  na kusimamia album ya G.O.O.D Music ya Cruel Winter akiwa na Kid Cudi.

No comments:

Post a Comment

Pages