

Japo aligusia kuhusu kumpenda Beyonce au Maradona lakini kwa unyenyekevu Camilla aliangalia kwa ukaribu na akalipekea jicho lake moja kwa moja nyumbani.
'Mama yangu na Bibi yangu ndio watu ndio walionisawishi mpaka kufika hapa' aliliambia waandishi kwenye red carpet

'Nina wanawake shupavu sana kwasasa wanao nizunguka na wamenionesha upendo, njia na yule mtu nilietaka kuwa kwasasa.'
No comments:
Post a Comment