MESUT OZIL AFIKIA REKODI ILIOWEKWA NA ERIC CANTONA NA KUWA MCHEZAJI WA KASI ALIEFIKIA ASSIST 50 KWENYE LIGI KUU UINGEREZA. - BZONE

MESUT OZIL AFIKIA REKODI ILIOWEKWA NA ERIC CANTONA NA KUWA MCHEZAJI WA KASI ALIEFIKIA ASSIST 50 KWENYE LIGI KUU UINGEREZA.

Share This

Mesut Ozil amekuwa mchezaji mwenye kasi zaidi Uingereza kwa kufikia assist 50 kwenye Premier League baada ya kumtengenezea goli Shkodran Mustafi  kwenye mchezo dhidi wao ambapo Arsenal ilipata magoli 3 dhidi ya Watford magoli yalio wekwa kimiyani na Pierre Emerick Aubameyang na Henrinkh Mkhitaryan.



Akitengeneza goli la 50 kwenye michezo 141 na akifanikisha kuipiku rekodi iliowekwa na aliekuwa mchezaji wa Manchester United Eric Cantona  kwa michezo miwili.



Sio kwamba hakuna waliokuwa na magoli hayo wapo kama Dennis Bergkamp ambae alitengeneza magoli 50 kwenye michezo 146  huku Cesc Fabregas alichukua michezo michezo 165 ili kuweza kufikia idadi hiyooo akiwa Arsenal na Chelsea huku David Silva hakiwa na michezo 166.

No comments:

Post a Comment

Pages