Robert Lewandowski amekataa dili jipya ndani ya Bayern Munich na kufungua maongezi na Real Madrid.Kupitia Sky Germany ambao wamesema mshambuliaji wa Kipolish yupo kwenye mazungumzo na Los Blancos. Utuaji wa Lewandowski unaweza ukaaribu maisha ya Karim Benzema pamoja na Mfaransa huyu akiwa anahusishwa na kuondoka Bernabeu msimu ujao.
No comments:
Post a Comment