Official sasa god of rap Eminim ameuza nyimbo milioni 100 - BZONE

Official sasa god of rap Eminim ameuza nyimbo milioni 100

Share This
By 

Eminem Aka “Rap God” ametangazwa rasmi na Recording Industry Association of America kuwa msanii aliyeuza zaidi  ya kopi milioni 100 za nyimbo zake.

Wametangaza rekodi hii baada ya wimbo wa “Lose Yourself” kufikia kopi milioni 10, huku colabo yake na Rihanna “Love the Way You Lie” ikiwa na mauzo ya kopi milioni (12 million) na “Not Afraid” ni milioni (10 million).
“Congratulations to @Eminem, 107.5 million song awards. Three Diamond Songs. #RIAATopCertified.”
Eminem sasa ameuza kopi milioni 107.5 na kuvunja rekodi ya Taylor Swift ya kopi milioni 106.5 huku Rihanna akiongoza kwa kuwa na mauzo ya kopi za nyimbo milioni 121

No comments:

Post a Comment

Pages