Baada ya mchezaji wa Lazio Luiz Felipe kupiga penati ilioenda kugonga besela kiungo mkabaji wa kati kutoka Milan Alessio Romagnoli ambae aliekuwa na makuzi ya kuwa shabiki wa Lazio ambae aliwakazia Lazio wasiweze kupata ushindi.
Mchezo uliishia 0-0 baada ya mda wa nyongeza katika mzunguko wa kwanza napo walitoka bila kufungana huu ulikuwa ni mchezon wa pili kwa Milan baada ya siku nne kwenye dimba la Stadio Olimpico baada ya kuipa Roma kichapo cha 2-0 kwenye ligi ya Serie A
Mchezo unafuata kwa vijana wa Gennaro Gattuso wanaenda kucheza Milan derby alafu baada ya hapo wanaenda kucheza na Arsenal kwenye mchezo wa Europa kwenye hatua ya Robo fainali.
No comments:
Post a Comment