Prezzo X Dogo Janja – Hamsa Mia Official Video - BZONE

Prezzo X Dogo Janja – Hamsa Mia Official Video

Share This
Msanii wa muziki Prezzo kwa kushirikiana na Dogo Janja wameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Hamsa Mia’. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Daxo Chalii & Marco Chalii katika studio za Mj records,Video imeongozwa na Msafiri kwetu Studio.

No comments:

Post a Comment

Pages